CHEKA KUZIPIGA NA MASHALI DESEMBA 25 UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO
Mabondia Francis Cheka (kulia) na Thomas Mashali (kushoto) wakitambulishwa na promota Kaike Siraj (katikati) katika Mkutano na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam kuelekea pambano lao la Desemba 25, mwaka huu Uwanja wa Jamuhuri mjini Morogoro.
0 comments:
Post a Comment