• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 22, 2015

  LEWANDOWSKI ATOKEA BENCHI NA KUTUMIA DAKIKA TISA KUFUNGA MABAO MATANO BAYERN IKIUA 5-1 BUNDESLIGA


  Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akionyesha mkono juu baada ya kufunga mabao mabao yote matano katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Wolfsburg Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga. Lewandowski alifunga dakika ya 51, 52, 55, 57 na 60 baada ya kutokea benchi kipindi cha pili, wakati bao pekee la Wolfsburg limefungwa na Daniel Caligiuri dakika ya 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI ATOKEA BENCHI NA KUTUMIA DAKIKA TISA KUFUNGA MABAO MATANO BAYERN IKIUA 5-1 BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top