• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 24, 2015

  TYSON FURY AMCHIMBA 'MIKWARA MBUZI' WLADIMIR KLITSCHKO


  Bondia Tyson Fury (kulia) akimchimba mikwara mpinzani wake, Wladimir Klitschko jana wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea pambano lao la  Oktoba 24, mwaka huu mjini Dusseldorf, Ujerumani. Klitschko atakuwa anatetea mataji yake ya dunia uzifo wa juu ya WBA, WBO na IBF PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TYSON FURY AMCHIMBA 'MIKWARA MBUZI' WLADIMIR KLITSCHKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top