• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 21, 2015

  GHANA, IVORY COAST MABINGWA MICHEZO YA AFRIKA 2015;

  TIMU ya taifa ya Senegal imetwaa ubingwa wa Michezo ya Afrika 2015 mjini Brazaville, Kongo baada ya kuifunga 1-0 Burkina Faso katika fainali mwishoni mwa wiki.
  Ghana nayo imetwaa Medali ya Dhahabu ya michuano hiyo upande wa wanawake baada ya kuifunga bao 1-0 pia Cameroon katika fainali.
  Mechi zote zilichezwa Uwanja wa Massamba-Debat katikati ya Jiji, Uwanja ambako ilifanyika michezo hiyo mwaka 1965.
  Wachezaji wa Senegal wakisherehekea ushindi wao juzi mjini Brazaville, Kongo

  MATOKEO MICHEZO YA AFRIKA 2015
  SOKA; 
  Wanaume:
  KUNDI ‘A’:
  Kongo 2-1 Sudan
  Zimbabwe 0-1 Burkina Faso
  Sudan 1-0 Zimbabwe
  Burkina Faso 1-2 Kongo
  Kongo 0-1 Zimbabwe
  Sudan 0-0 Burkina Faso

  KUNDI ‘B’:
  Misri ilijitoa
  Ghana 0-0 Senegal
  Nigeria 2-0 Ghana
  Senegal 1-1 Nigeria

  Wanawake:
  KUNDI ‘A’:
  Kongo 1-5 Nigeria
  Tanzania 0-1 Ivory Coast
  Nigeria 3-0 Tanzania
  Ivory Coast 1-1 Kongo
  Kongo 1-1 Tanzania
  Nigeria 1-2 Ivory Coast

  KUNDI ‘B’:
  Cameroon 1-1 Afrika Kusini
  Cameroon 1-1 Ghana
  Afrika Kusini 0-0 Ghana

  NUSU FAINALI:
  WANAWAKE:
  Ivory Coast 0-1 Ghana
  Cameroon 2-1 Nigeria

  WANAUME:
  Kongo 1-3 Senegal
  Nigeria 1-3 Burkina Faso

  MEDALI YA SHABA:
  Wanawake; Ivory Coast 2-1 Nigeria
  Wanaume; Kongo 3-5 Nigeria

  FAINALI:
  Wanawake; Ghana 1-0 Cameroon
  Wanaume; Senegal 1-0 Burkina Faso
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GHANA, IVORY COAST MABINGWA MICHEZO YA AFRIKA 2015; Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top