• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 28, 2015

  USO UMEUMBWA NA HAYA...MANYIKA BAADA YA KUTUNGULIWA BAO LA PILI!

  Mlinda mlango wa Simba SC, Peter Manyika akificha uso wake baada ya kufungwa bao la pili timu yake ikilala 2-0 Jumamosi mbele ya mahasimu Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 
  Kipa huyo anayechipukia vizuri nchini, alijikusanya na kurudi mchezoni kinyonge 
  Pamoja na kufungwa mabao mawili ya Amissi Tambwe na Malimu Busungu, lakini Manyika alidaka kwa ustadi mkubwa mchezo wa juzi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: USO UMEUMBWA NA HAYA...MANYIKA BAADA YA KUTUNGULIWA BAO LA PILI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top