• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 24, 2015

  BEKI WA SIMBA SC, HASSAN KESSY APIGA 'MNYOO WA USHINDI' KUELEKEA PAMBANO NA YANGA

  Beki wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy akifurahia katika saluni moja Zanzibar leo baada ya kunyoa mnyoo maalum kuelekea pambano dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC imeweka kambi Zanzibar kwa ajili ya mchezo huo wa keshokutwa jioni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI WA SIMBA SC, HASSAN KESSY APIGA 'MNYOO WA USHINDI' KUELEKEA PAMBANO NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top