• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 27, 2015

  PICHA 10 ZA 'SWAGA' MASHABIKI KATIKA PAMBANO LA MAHASIMU SIMBA NA YANGA JANA UWANJA TAIFA...

  Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya timu yao kupata bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wtani wao wa jadi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
  Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  Mashabiki wa Simba SC wakiwa hawaamini macho yao baada ya timu yao kufungwa bao la pili na watani wao, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana
  Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  Shabiki wa Yanga SC akifurahia jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  Shabiki wa Simba SC akiwa na bango la kumpigia debe mgombea Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli 
  Shabiki mtoto wa Yanga SC akipuliza vuvuzela jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  Shabiki wa Yanga SC akiwa na bango la kumpigia debe mgombea Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli 
  Shabiki wa Simba SC akiwa na bango la kumkejeli Msemaji wa Yanga SC, Jerry Muro kabla ya kuanza kwa mchezo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PICHA 10 ZA 'SWAGA' MASHABIKI KATIKA PAMBANO LA MAHASIMU SIMBA NA YANGA JANA UWANJA TAIFA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top