• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 20, 2015

  YANGA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kulia) akimtoka beki wa JKT Ruvu, Napho Zuberi (kushoto) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 4-1
  Kiungo wa Yanga SC, Mzimbabwe Thabani Kamusoko akimtoka mshambuliaji wa JKT Ruvu, Samuel Kamuntu
  Mshambuliai wa Yanga SC, Mzimbabwe Donald Ngoma akipambana na wachezaji wa JKT Ruvu, Madenge Ramadhani (chini) na George Minja (kulia)
  Simon Msuva wa Yanga SC akipasua katikati ya wachezaji wa JKT Ruvu
  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka kiungo wa JKT Ruvu, Ismail Aziz
  Beki wa JKT Ruvu, Martin Kazila akimzuia mshambuliaji wa Yanga SC, Mrundi Amissi Tambwe
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top