• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 29, 2015

  NIYONZIMA ALIVYOAMUA PAMBANO LA 'KAVU KAVU' LA KASEKE NA MAJABVI JUMAMOSI TAIFA

  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima (kulia) akimzuia kiungo wa Simba SC, Justice Majabvi asipigane na kiungo wa Yanga pia, Deus Kaseke katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0
  Tukio hilo lilianzia katika kugombea mpira wa kurusha na ilikuwa kama Kaseke anapoteza muda, hivyo Majabvi akaenda kuuchukua ili mchezo uendelee wajaribukusawazisha mabao ya Amissi Tambwe na Malimi Busungu

  Kaseka na Majabvi wakigombea mpira kabla ya kutaka kupigana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NIYONZIMA ALIVYOAMUA PAMBANO LA 'KAVU KAVU' LA KASEKE NA MAJABVI JUMAMOSI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top