• HABARI MPYA

    Wednesday, June 10, 2015

    JUMA KASEJA AIBUKA MAZOEZINI YANGA SC, 'AMVAA' MKWASA

    Kipa wa zamani wa Yanga SC, Juma Kaseja (kulia) akizungumza na Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Charles Boniface Mkwasa wakati wa mazoezi ya asubuhi. Kaseja alikuwa akifanya mazoezi na timu ya makip, wakati Yanga pia walikijifua uwanjani na hapo.Kushoto ni kocha Mkuu, Hans van der Pluijm, raia wa Uholanzi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUMA KASEJA AIBUKA MAZOEZINI YANGA SC, 'AMVAA' MKWASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top