• HABARI MPYA

    Saturday, November 15, 2014

    TUNISIA YAFUZU KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA LICHA YA SARE NA BOTSWANA TAIFA

    Houcin Reguid wa Tunisia
    KOCHA wa Tunisia, George Leekens amefurahia timu yake kujikatia tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani, hata kama haikuonyesha kiwango kizuri dhidi ya Botswana.
    The Carthage Eagles walitoa sare ya bila kufungana na Botswana Uwanja wa Taifa mjini Gaborone jana usiku na kupanfa kileleni mwa kundi lao kwa kufikisha pointi 11.
    Leekens aliwaambia Waandishi wa Habari kwamba kabla ya mechi alipanga kuchukua pointi zote tatu, ingawa walihitaji pointi moja tu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TUNISIA YAFUZU KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA LICHA YA SARE NA BOTSWANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top