• HABARI MPYA

    Sunday, November 16, 2014

    MTU MZIMA MTIRO NDANI YA STARS MJINI MBABANE TAYARI KAZI LEO NA SWAZILAND

    Beki mkongwe, Abubakar Twaha Mtiro akishuka kwenye basi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mjini Mbabane, Swaziland jana baada ya mazoezi jana. Stars leo inatarajiwa kumenyana na wenyeji wao, Swaziland katika mchezo wa kirafiki ulio katika kalenda ya FIFA.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTU MZIMA MTIRO NDANI YA STARS MJINI MBABANE TAYARI KAZI LEO NA SWAZILAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top