• HABARI MPYA

    Sunday, November 16, 2014

    MOURAD NA YONDAN 'WANAPOSHOO LAVU' NA UZI WA TAIFA STARS MBABANE

    Mabeki, Kevin Yondan wa Yanga SC kulia na Said Mourad wa Azam FC kushoto wakiwa katika picha ya pamoja mjini Mbabane, Swaziland baada ya mazoezi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana. Wawili hao waliowahi kucheza pamoja Simba SC, wanatarajiwa kuiongoza Taifa Stars dhidi ya wenyeji leo katika mchezo wa kirafiki. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MOURAD NA YONDAN 'WANAPOSHOO LAVU' NA UZI WA TAIFA STARS MBABANE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top