![]() |
| Advocaat amebwaga manyanga Serbia |
"FSS inamshukuru Advocaat kwa kuonyesha uadilifu wa kitaaluma na tunasikitika ushirikiano wetu na yeye umeisha vibaya," imesema bodi hiyo ya soka.
"Tunamtakia kila la heri huko katika mustakabali wake baadaye wa kazi,". kwa upande wake, Advocaat amesema: "Presha ambayo ilikuwa kila mahala ilikuwa ni kubwa kuimudu katika timu hii na sijawahi kukutana na wakati mgumu kama huu katika maisha yangu ya kazi,".
"Serbia inatakiwa haraka kwenda kutafuta njia nzuri na ninaishukuru FSS kwa sapoti yao,". Kipigo cha Denmark, katika mechi iliyochezwa bila mashabiki inaiweka shakani nafasi ya Serbia kufuzu kutokana na kuambulia pointi moja katika mechi mbili.



.png)
0 comments:
Post a Comment