• HABARI MPYA

    Saturday, August 16, 2014

    CHELSEA YAMTOA KWA MKOPO VICTOR MOSES STOKE CITY

    WINGA wa Chelsea, Victor Moses amejiunga na Stoke City kwa mkopo wa muda mrefu kocha Jose Mourinho akijaribu kupounguza kikosi chake kuelekea msimu mpya.
    Moses anaachana na kocha huyo Mreno na kwenda kujiunga na timu ya Mark Hughes Uwanja wa Britannia.
    Mnigeria huyo alicheza kwa mkopo msimu uliopita Liverpool, lakini akawa anasotea namba kwenye kikosi cha kikosi cha Brendan Rodgers.

    Ofisi mpya: Victor Moses aliichezea Nigeria katika Kombe la Dunia, lakini sasa anakwenda kucheza kwa mkopo Britannia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAMTOA KWA MKOPO VICTOR MOSES STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top