• HABARI MPYA

    Friday, August 15, 2014

    BEKI AZAM FC AFUNGWA VYUMA KAMA MBUYU TWITE WA YANGA SC

    Beki wa Azam FC, Ismail Gambo 'Kussi' akiwa na Dk Abbas Chopdawala katika hospitali ya Inamdar mjini Pune, India baada ya kupanyiwa upasuaji wa mguu na kuwekewa vyumba kufutaia kuvunjika kwa mifupa kadhaa.
    Kussi sasa atatembelea magongo kwa mwaka mzima
    Hivi ndivyo vyumba alivyowekewa badala ya mifupa na akipona atakuwa sawa na beki wa Yanga, Mbuyu Twite aliyewekewa vyumba pia baada ya kuvunjika mifupa
    Kussi akiwa mwenye furaha baada ya kuwekewa vyuma

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BEKI AZAM FC AFUNGWA VYUMA KAMA MBUYU TWITE WA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top