// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL WAIFANYIA 'KISOROKWINYO' MAN UNITED, WAMUUZA VERMAELEN KWA BEI YA UBUYU BARCELONA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL WAIFANYIA 'KISOROKWINYO' MAN UNITED, WAMUUZA VERMAELEN KWA BEI YA UBUYU BARCELONA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 09, 2014

    ARSENAL WAIFANYIA 'KISOROKWINYO' MAN UNITED, WAMUUZA VERMAELEN KWA BEI YA UBUYU BARCELONA

    NAHODHA wa Arsenal, Thomas Vermaelen amejiunga na Barcelona kwa dau la Pauni Milioni 15 baada ya timu hiyo ya Kaskazini mwa London kugoma kuwauzia silaha wapinzani wa Ligi Kuu England, Manchester United.
    Beki huyo Mbelgiji amesaini Mkataba wa miaka mitano na vigogo hao wa Hispania, ambao unaaminika utamfanya awe analipwa Pauni 80,000 kwa wiki.
    Vermaelen amekuwa Arsenal kwa miaka mitano na miaka miwili akiwa Nahodha wa kikosi cha Arsene Wenger, lakini msimu uliopita alijikuta anawekwa benchi Laurent Koscielny na Per Mertesacker.

    Rasmi: Thomas Vermaelen ametua Barcelona baada ya Asrenal kugoma kuwauzia silaha Man United
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL WAIFANYIA 'KISOROKWINYO' MAN UNITED, WAMUUZA VERMAELEN KWA BEI YA UBUYU BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top