• HABARI MPYA

    Saturday, August 09, 2014

    SIMBA SC YAPIGWA 3-0 NA KIONGERA WAO SIMBA DAY

    Mshambuliaji Paul Kiongera wa Simba (kulia), akijaribu kumtoka Simon Silwimba wa Zesco ya Zambia, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa leo katika sherehe za Simba Day, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 3-0. 
    Amisi Tambwe wa Simba (kulia), akijaribu kumhadaa Simon Silwimba wa Zesco ya Zambia, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa leo katika sherehe za Simba Day, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 3-0. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAPIGWA 3-0 NA KIONGERA WAO SIMBA DAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top