• HABARI MPYA

    Tuesday, July 15, 2014

    SIMBA SC KATIKA MAZOEZI UDSM JANA, ANGALIA VIFAA VIPYA

    Kipa mpya wa Simba SC, Hussein Sharrif 'Cassilas' akidaka mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) eneo la Mlimani, Dar es Salaam jana.
    Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Michael Mgimwa aliyekuwa akicheza Thailand akimiliki mpira mbele ya Ibrahim Hajibu
    Kipa Hussein Sharrif 'Cassilas' akiwa amedaka mpira
    Kipa Ivo Mapunda akiwa amedaka mpira
    Kocha wa makipa wa Simba SC, Iddi Pazi 'Father' akitoa maelekezo kwa kipa Ivo Mapunda
    Michael Mgimwa (kushoto) na Awadh Juma (kulia) wote ni matunda ya Taasisi ya Soka Tanzania (TSA) ambako pia aliibukia Thomas Ulimwengu
    Mshambuliaji kutoka Afrika Kusini, Dani van Wyk kulia akiwa amempiga tobo kiungo Said Ndemla
    Wachezaji wa Simba SC mazoezini Chuo Kikuu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC KATIKA MAZOEZI UDSM JANA, ANGALIA VIFAA VIPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top