• HABARI MPYA

    Tuesday, July 15, 2014

    AZAM FC YAIBANJUA POLISI MORO 1-0, STRAIKA WA HAITI AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO CHAMAZI

    Mshambuliaji mpya wa Azam FC kutoka Malia, Ismaila Diara akiruka miguu ya beki wa Polisi Morogoro katika mchezo wa kirafiki baina ya timu za Ligi Kuu, asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0.
    Mshambuliaji wa Azam FC, Seif Abdallah akimiliki mpra mbele ya beki wa Polisi
    Mfungaji wa bao pekee la ushindi la Azam FC kipindi cha pili,  Leonel Saint- Preux kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Lulanga Mapunda
    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' kulia akiambaa na mpira
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchethe akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Lulanga Mapunda
    Kutoka kulia Mwadini Ali, Kipre Tchetche, Leonel Saint-Preuz na Ismaila Diara wakati wa mapumziko
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YAIBANJUA POLISI MORO 1-0, STRAIKA WA HAITI AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top