• HABARI MPYA

    Friday, January 10, 2014

    AVB ATUA BAYERN MUNICH, GUARDIOLA AMPOKEA VIZURI NA KUMPA USHIRIKIANO, WACHEZAJI WAMFURAHIA MAZOEZINI

    AMEKUWA akionekana kwa nadra kocha Andre Villas-Boas tangu atupiwe virago Tottenham mwezi uliopita. 
    Lakini inasemekana anaweza kuwa tayari kurudi kazini, baada ya kuonekana akizungumza na kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola katika kambi ya timu hiyo ya Ujerumani mjini Doha, Qatar.
    AVB alionekana mtulivu na mwenye furaha wakati akijadiliana masuala ya kiufundi na Guardiola kwa muda mrefu.
    Kikao: Andre Villas-Boas (kulia) akizungumza na kocha wa Bayern, Pep Guardiola (kushoto) katika kambi ya mazoezi Doha
    Instructions: Guardiola gives Villas-Boas the lowdown on Bayern's winter training camp set up
    Maelekezo: Guardiola akimuelekeza jambo Villas-Boas 
    Intense: Guardiola and Villas-Boas get to the nub of the issue as they chat things over in Doha
    Guardiola na Villas-Boas walizungumza kwa muda mrefu Doha

    Kocha huyo wa zamani wa Spurs na Chelsea pia alikutana na nyota wa Bayern, Franck Ribery, Thiago Alcantara, Dante Bonfrm na Claudio Pizarro mwishoni mwa mazoezi hayo.
    Lakini AVB hakuishia tu kwenye kambi ya Bayern, kwani pi alikutana na gwiji wa Hispani na Real Madrid, Raul Gonzalez, ambaye alichezea kwa misimu kadhaa wapinzani wa Bayern, Schalke, aliyetembelea mazoezi ya timu hiyo.
    Ilikuwaa ni safari fupi kwa Raul kufika kwenye kambi hiyo ya mazoezi, ambaye kwa sasa anachezea Al Sadd ya ligi Kuu ya Qatar.
    Meet and greet: Villas-Boas (second right) meets Bayern players Franck Ribery and Dante Bonfim after training
    Villas-Boas (wa pili kulia) alikutana na wachezaji Franck Ribery na Dante Bonfim baada ya mazoezi
    Smiles all round: Thiago Alcantara (second left) comes over to say his hellos to the former Spurs boss
    Thiago Alcantara (wa pili kushoto) alikwenda kumsalimia kocha wa zamani wa Spurs
    Not to be left out: Claudio Pizarro (second left) makes sure he also manages a quick chat with Villas-Boas
    Claudio Pizarro (wa pili kushoto) pia alihakikisha anamsalimia na kuzungumza naye kidogo Villas-Boas
    Making acquaintances: Spanish legend Raul, who plays for Al Sadd in Qatar, joins AVB at the training camp
    Gwiji wa Hispania, Raul, anayechezea Al Sadd ya Qatar, aliungana na AVB katika kambi ya mazoezi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AVB ATUA BAYERN MUNICH, GUARDIOLA AMPOKEA VIZURI NA KUMPA USHIRIKIANO, WACHEZAJI WAMFURAHIA MAZOEZINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top