• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 26, 2014

  RAAASMIII, JUAN MATA NI MAN UNITED

  KLABU ya Manchester United imetangaza kumsajili Juan Mata kutoka Chelsea kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 37.1.
  Kiungo huyo wa Hispania alipokewa na kocha David Moyes Jumamosi, na Mata anatarajiwa kuanza kuitumikia Man United katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Cardiff Jumanne Uwanja wa Old Trafford.

  Mpango mzima: Mata akisaini Manchester United kwa dau la rekodi, pauni Milioni 37.
  Top signing: Mata said he was thrilled to join United, and admitted it was impossible to turn down
  Mchezaji ghali: Mata akiwa na MoyesGot our man: Moyes recognised that United fans had admired Mata for a long time now
  Moyes akimkabidhi jezi ya Man United Mata
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAAASMIII, JUAN MATA NI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top