• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 29, 2014

  LIVERPOOL INATISHA, YAWAFUMUA EVERTON 4-0, SUAREZ KAMA KAWA NA 'MPENZI NYAVU'

  LIVERPOOL imefanya kufuru baada ya kuwafumua mabao 4-0 wapinzani wao, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfileld.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na Steven Gerrard dakika ya 21, Daniel Sturridge dakika ya 33 na 35 na Luis Suarez dakika ya 50.
  Ushindi huo, unaifanya Liverpool itimize pointi 46 baada ya kucheza mechi 23 na kuendelea kukaa nafasi ya nne, nyuma ya Chelsea pointi 49, Manchester City pointi 50 na Arsenal pointi 52.
  Mkali kweli: Daniel Sturridge (katikati) akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika mechi ya mahasimu wa Merseyside, dhidi ya Everton akiwa na Luis Suarez ambaye pia amefunga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL INATISHA, YAWAFUMUA EVERTON 4-0, SUAREZ KAMA KAWA NA 'MPENZI NYAVU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top