• HABARI MPYA

  Monday, January 27, 2014

  BALOTELLI AIFUNGIA AC MILAN IKISHINDA 2-1

  TIMU ya AC Milan imeifunga Cagliari mabao 2-1,shukrani kwao Mario Balotelli na Giampaolo Pazzini waliofunga mabao hayo.
  Ilikuwa furaha kwa kocha moya Clarence Seedorf baada ya vijana wake kulipiku bao la mapema la Marco Sau na kuibuka na ushindi huo.
  Raha raha! Mario Balotelli (kushoto) akipongezwa na wenzake Daniele Bonera na Kaka baada ya kufunga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AIFUNGIA AC MILAN IKISHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top