• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 27, 2014

  MATA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 8 MAN UNITED, NAMBA 7 AWEKEWA RONALDO ATAKAPOREJEA MWISHONI MWA MSIMU

  KIUNGO Juan Mata ametambulishwa Manchester United na kukabidhiwa jezi namba nane (8).
  Ilitarajiwa Mspanyola huyo angepewa jezi maarufu Old Trafford, namba saba (7), afuate nyayo za Cristiano Ronaldo, David Beckham, George Best na Eric Cantona.
  Lakini mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 37, kiwango kikubwa zaidi United kutoa kununua mchezaji kihistoria, amechukua namba nane 8, ambayo mara ya mwisho alivaa Anderson, aliyehamia Fiorentina kwa mkopo.
  Tetesi kwenye Twitter zinasema jezi namba saba (7) amewekewa Cristiano Ronaldo atakaporejea mwishoni mwa msimu.
  Nyota: Juan Mata amekabidhiwa jezi namba nane (8) Manchester United
  Prodigal son: Untied fans got excited that the iconic No 7 shirt was reserved for Cristiano Ronaldo's return
  Kijukuu cha mtume: Mashabiki Untied wanaamini jezi namba saba (7) imewekwa kwa ajili ya Cristiano Ronaldo atakaporejea
  Iconic: It was thought Mata would take No 7 after George Best, Eric Cantona, David Beckham and Roanldo
  Wakali: Ilifikiriwa Mata angepewa jezi namba saba (7) waliyowahi kuvaa nyota kama George Best, Eric Cantona, David Beckham na Roanldo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MATA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 8 MAN UNITED, NAMBA 7 AWEKEWA RONALDO ATAKAPOREJEA MWISHONI MWA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top