• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 31, 2014

  ARSENAL YATAKA KUMSAJILI KIM KALLSRTOM

  WAKATI dirisha la usajili linafungwa leo saa 6:00 usiku, Arsenal ipo kwenye mazungumzo na kiungo wa Spartak Moscow, Kim Kallstrom.
  Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 31 aliyechezea mechi zaidi ya 100 Sweden, ana uzoefu wa kutosha na kipindi hiki ambacho Aaron Ramsey ni mejeruhi akitua Emirates anaweza kuisaidia The Gunners katika mbio za ubingwa.
  Usajili wa ghafla: Arsenal ipo kwenye mazungumzo na kiungo huyu wa Spartak Moscow, Kim Kallstrom
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YATAKA KUMSAJILI KIM KALLSRTOM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top