Madansa wa kundi la Kings Pose, Rehema Hemed 'Kajol' na Gabriel Joseph 'Yoka Mpela' wakicheza shoo ya wimbo Solider wa filamu ya kihindi usiku wa jana kwenye ukumbi wa Kings Palace Centre, Kako Magurumbasi, Dar es Salaam. Kings Palace burudani ni usiku kucha kila siku. |
0 comments:
Post a Comment