• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 26, 2014

  OSCAR ANOGESHA BIRTHDAY YA MOURINHO LEO, AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA DHIDI YA STOKE KOMBE LA FA

  BAO pekee la Oscar limempa raha Jose Mourinho akitimiza miaka 51 ya kuzaliwa baada ya kuilaza 1-0 Stoke City katika mchezo wa Raundi ya Nne ya Kombe la FA.
  Mourinho alimpanga Oscar namba 10, nafasi ya Juan Mata aliyehamia Manchester United na akaziba vyema pengo hilo kwa kufunga dakika ya 28.
  Mshindi wa mechi: Oscar akishangilia baada ya kuifungia kwa mpira wa adhabu Chelsea leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OSCAR ANOGESHA BIRTHDAY YA MOURINHO LEO, AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA DHIDI YA STOKE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top