• HABARI MPYA

  Friday, January 31, 2014

  MCHEZAJI WA ARSENAL ASAINI DARAJA LA KWANZA NA KUSEMA; "JINSI GANI NITASOTEA MADEMU"

  KIUNGO wa Arsenal, Emmanuel Frimpong amesaini klabu ya Daraja la Kwanza Barnsley from Arsenal kwa ada ya uhamisho ambayo haikutajwa.
  Baada ya kusaini timu hiyo, kinda huyo akatweet: "How am I gonna draw girls now" akimaanisha atakuwa na wakati mgumu mno kuwavutia mademu - ingawa baada ya muda mfupi tu akafuta.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amesaini kupiga kazi Oakwell hadi Juni 2014.
  Nitapataje mademu sasa: Emmanuel Frimpong akiwa na jezi ya Barnsley baada ya kusaini akitokea Arsenal
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI WA ARSENAL ASAINI DARAJA LA KWANZA NA KUSEMA; "JINSI GANI NITASOTEA MADEMU" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top