• HABARI MPYA

  Friday, January 31, 2014

  FULHAM YAZIBA PENGO LA BERBATOV KWA KUSAINI STRIKER LA UGIRIKI

  KLABU ya Fulham imeziba pengo la Dimitar Berbatov kwa kukamilisha usajili wa kimataifa wa Ugiriki, Kostas Mitroglou.
  Berbatov ameruhusiwa kwenda Monaco kufanyiwa vipimo vya afya kwenda kucheza timu hiyo ya Ufaransa.
  The Cottagers imeziba pengo lake kwa kumsaini Mitroglou kutoka Olympiacos kwa Pauni Milioni 12.4.
  Kifaa kipya: Kostas Mitroglou amejiunga na Fulham 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FULHAM YAZIBA PENGO LA BERBATOV KWA KUSAINI STRIKER LA UGIRIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top