• HABARI MPYA

  Thursday, January 30, 2014

  AC MILAN YANG'OA KIFAA KINGINE ENGLAND

  KIUNGO Adel Taarabt amesaini AC Milan kwa mkopo kutoka timu ya Daraja la Kwanza England, QPR.
  Kiungo huyo mshambuliaji wa kimataifa wa Morocco alikuwa akiichezea Fulham kwa makubaliano ya muda, lakini sasa ameungana na vigogo hao wa Serie A.
  Kocha mpya, Clarence Seedorf anataka kiungo huyo aje kuimrisha kikosi chake San Siro.
  Furaha kuwa hapa: Adel Taarabt akiwa amepozi naskafu ya AC Milan
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AC MILAN YANG'OA KIFAA KINGINE ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top