• HABARI MPYA

  Sunday, January 26, 2014

  SIMBA SC ILIVYOWAVURUGA WANAJESHI WA TABORA LEO TAIFA...HUYU MTOTO MESSI KWELI NOMA!

  Chini; Ramadhani Singano 'Messi' akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Rhino Rangers katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 1-0.
  Ramadhani Singano 'Messi' akifanya yake katikati ya wachezaji wa Rhino
  Messi akifanya yake
  Suleiman Jingo wa Rhino mbele ya Haruna Shamte wa Simba
  Messi akimvuta jezi beki wa Rhino
  Ali Badru wa Simba SC akimtoka beki wa Rhino
  Behewa; Amri Kiemba wa Simba SC akimkokota beki wa Rhino
  Amri Kiemba akiambaa na mpira pembeni ya wachezaji wa Rhino
  Amisi Tambwe wa Simba SC akikabiliana na beki wa Rhino
  Betram Mombeki aliingia na kutoka
  Wakubwa; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC,Zacharia Hans Poppe kulia akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Geoffrey Nyange 'Kaburu'
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOWAVURUGA WANAJESHI WA TABORA LEO TAIFA...HUYU MTOTO MESSI KWELI NOMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top