• HABARI MPYA

  Thursday, January 23, 2014

  BALOTELLI AIFUNGIA MILAN LA KWANZA...LAKINI MWISHOWE YALALA 2- NA KUTOLEWA COPA ITALIA

  TIMU ya Udinese imetoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 2-1 mbele ya AC Milan kwenye Uwanja wa San Siro na kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Italia, maarufu kama Copa Italia.
  Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City, Mario Balotelli alimpa mwanzo mzuri kocha Clarence Seedorf kwa kufunga bao la kuongoza dakika ya sita tu, lakini Udinese ikasawazisha kwa penalti ya mshambuliaji wa Colombia, Luis Muriel baada ya Urby Emanuelson kuchezewa rafu na beki wa kulia, Silvan Widmer.
  Wageni waliifungisha virago Milan kwa bao la mchezaji aliyetokea benchi Nicolas Lopez, aliyefunga dakika ya 75.
  Halikuwa na faida; Balotelli akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia AC Milan bao la kuongoza usiku huu 

  Stunning strike: Udinese's Nicolas Lopez celebrates scoring against AC Milan
  Crucial moment: Lopez hits the winning goal for Udinese against AC Milan in the Copa Italia quarter-final
  In the right place: Balotelli scores for AC Milan against Udinese
  Bad day at the office: AC Milan boss Clarence Seedorf watched his side lose 2-1 to Udinese
  Poor night: Balotelli rues missing a chance against Udinese at the San Siro
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AIFUNGIA MILAN LA KWANZA...LAKINI MWISHOWE YALALA 2- NA KUTOLEWA COPA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top