• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 22, 2014

  MECHI ZOTE ZA UFUNGUZI LIGI KUU 'LIVE' AZAM TV, KAMA HUNA KING'AMUZI CHAO, IMEKULA KWAKO!

  Bango hili linaonyesha mechi za ufunguzi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, zitakazoonyeshwa moja kwa moja na Azam TV siku za Jumamosi  na Jumapili. Ving'amuzi vya Azam TV sasa vinapatikana nchi nzima, kwa ambao hawajavinunua wanaweza kuchangamka haraka ili wasikose uhondo wa Ligi Kuu, mzunguko wa pili utakaomua bingwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MECHI ZOTE ZA UFUNGUZI LIGI KUU 'LIVE' AZAM TV, KAMA HUNA KING'AMUZI CHAO, IMEKULA KWAKO! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top