• HABARI MPYA

  Saturday, January 25, 2014

  HII YA MATA HAIJAWAHI KUTOKEA MAN UNITED...KIFAA KUANZA KAZI JUMANNE

  KIUNGO Juan Mata amewasili kwa helikopta Uwanja wa mazoezi wa Manchester United, Carrington leo mchana kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili wake wa Pauni  Milioni 37 kutoka Chelsea.
  Nyota huyo wa Hispania alipokewa na kocha David Moyes tayari kukamilisha usajili wake haraka ili aweze kucheza mechi ya Ligi Kuu Jumanne dhidi ya Cardiff Uwanja wa Old Trafford.
  Usajili hao utakapokamilishwa rasmi, Moyes atavunja rekodi ya kununua mchezaji kwa bei kubwa katika klabu hiyo, ambayo ilikuwa inashikiliwa na Dimitar Berbatov aliyenunuliwa kwa Pauni Milioni 30.75 mwaka 2008.

  Karibu uniokoe: David Moyes akimkaribisha Juan Mata 
  Flyer: Man United will break their transfer record, which previously stood at £32.75m, to sign Mata
  Man United itavunja rekodi yake ya usajili wa bei mbaya
  Safe hands: Moyes will hope to deploy Mata in Tuesday's game against Cardiff
  Moyes anatumai atamtumia Mata Jumanne dhidi ya Cardiff
  Welcome to Manchester: Juan Mata is greeted by David Moyes after arriving at Carrington by helicopter
  Juan Mata na David Moyes baada ya kuwasili Carrington kwa helikopta
  Touching down: Mata will undergo a medical and finalise personal terms on his move from Chelsea
  Touching down: Mata will undergo a medical and finalise personal terms on his move from Chelsea
  The grand tour: Mata and Moyes had a chat after the playmaker disembarked his helicopter
  The grand tour: Mata and Moyes had a chat after the playmaker disembarked his helicopter
  Walk this way: Mata takes a look around his new home
  Walk this way: Mata and Moyes walk up the steps before the Spaniard undergoes his medical
  Walk this way: Mata and Moyes look around the training base before the Spaniard's medical at Carrington
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HII YA MATA HAIJAWAHI KUTOKEA MAN UNITED...KIFAA KUANZA KAZI JUMANNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top