• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 31, 2014

  SUNDERLAND YASAINI KIUNGO MPYA

  KIUNGO Liam Bridcutt amekamilisha usajili wa Pauni Milioni 2.5 kutua Sunderland akitokea Brighton, akiwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Gus Poyet dirisha hili la usajili.
  Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24, alisafiri kwenda Wearside Alhamisi kujadili usajili wake na Black Cats ambao aliukamilisha leo asubuhi. 
  Kifaa kipya: Liam Bridcutt stands in his Sunderland shirt after completing his move from Brighton
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUNDERLAND YASAINI KIUNGO MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top