• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 31, 2014

  MOURINHO ASAINI BEKI LA KATI CHELSEA KINDA LA MIAKA 19 KUTOKA UFARANSA

  KOCHA Jose Mourinho amekamilisha usajili wa Kurt Zouma kutoka klabu ya  St-Etienne.
  Chelsea imekubali kulipa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 12.5 kwa ajili ya beki huyo wa kati kinda wa umri wa miaka 19, ambaye atabakia Ufaransa kumalizia msimu.
  Kujiamini: Kurt Zouma amejiunga na Chelsea lakini atabakia St Etienne kumalizia msimu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURINHO ASAINI BEKI LA KATI CHELSEA KINDA LA MIAKA 19 KUTOKA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top