• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 29, 2014

  JESSE RODRIGUEZ AENDELEA KUWASHIKA REAL MADRID, RONALDO ATOKA KAPA KOMBE LA MFALME CHAMA LIKISONGA NUSU FAINALI

  TIMU ya Real Madrid usiku wa jana imewafunga bao 1-0 Espanyol waliomaliza pungufu ya mchezaji mmoja na kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme kwa ushindi wa jumla wa 2-0. 
  Ikitoka kushinda 1-0 katika mchezo wa kwanza mjini Barcelona, Madrid iliingia Uwanja wa Santiago Bernabeu kwa nguvu na kupata bao mapema tu dakika ya saba, mfungaji Jese Rodriguez. 
  Mshambuliaji huyo kinda ameendelea kuvutia mashabiki wa Madrid kwa kuiweka gambani pasi ya Xabi Alonso kabla ya kumtungua kipa Kiko Casilla. 

  La ushindi: Jese Rodriguez amefunga bao pekee la ushindi Real Madrid ikiilaza EspanyolReverse angle: Jese bagged a crucial goal early on in the game
  Jese alifunga mapema tuQuiet day? Cristiano Ronaldo had a rare outing when he didn't find the back of the net
  Siku ngumu? Cristiano Ronaldo alicheza lakini hakufungaFlying high: Ronaldo out-jumps Sergio Garcia to win a header during the Copa del Rey match
  Ronaldo akiruka juu kugombea mpira na Sergio Garcia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JESSE RODRIGUEZ AENDELEA KUWASHIKA REAL MADRID, RONALDO ATOKA KAPA KOMBE LA MFALME CHAMA LIKISONGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top