Kipa namba moja wa Yanga SC; Juma Kaseja akijiandaa kuingia mazoezini kwenye Uwanja ilio ndani ya eneo la hoteli waliyofikia, Sueno Beach mjini Antalya, Uturuki leo. Yanga walifika jana Uturuki na leo wanafanya mazoezi ya kwanza.
Wachezaji wa Yanga kutoka kulia Nadir Haroub 'Cannavaro', Nizar Khalfan, Mrisho Ngassa na Jerry Tegete aliyesimama wakiwa tayari kuingia mazoezini.
Hamisi Kiiza kulia na Emmanuel Okwi
Mrisho Ngassa
Kutoka kulia Juma Abdul, Mbuyu Twite na Mrisho Ngassa
0 comments:
Post a Comment