• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 20, 2014

  LIVERPOOL YAPAMBANA ILE MBAYA KUNASA SAINI YA KIUNGO HATARI WA MISRI, NI MOHAMED SALAH WA FC BASLE

  KLABU ya Liverpool itapiga hatua katika kuwania saini ya Mohamed Salah hara iwezekanavyo.
  Kocha Brendan Rodgers alikuwa ana kikao na mmiliki wa Liverpool, John W Henry na Mwenyekiti, Tom Werner Ijumaa kujadili usajili wa dirisha hili dogo na ameambiwa aongeze juhudi kuhakikisha anamsalili mchezaji wa kimataifa wa Misri, anayechezea FC Basle, Salah.
  Wanakabiliwa na ushindani kutoka klabu za Hispania na Ujerumani, lakini Rodgers anafahamu kwamba kiungo huyo yuko tayari kujiunga na Liverpool kama watafika dau la uhamisho wake.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPAMBANA ILE MBAYA KUNASA SAINI YA KIUNGO HATARI WA MISRI, NI MOHAMED SALAH WA FC BASLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top