• HABARI MPYA

  Friday, January 31, 2014

  DRAXLER HATUA CHACHE KUFIKA ARSENAL, WENGER AHARIBU MWENYEWE KWA UBAKHILI WAKE

  ZALI. Julian Draxler yuko tayari kuhamia Arsenal, lakini Arsene Wenger anakabiliwa na jukumu la kufika bei wanayotaka Schalke.
  Klabu hizo mbili bado zipo kwenye mazungumzo ya biashara ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20. 
  Schalke itakuwa tayari kumuuza mshambuliaji huyo kwa dau lisilopungua Pauni Milioni 37. Wenger anataka kumbadili mchezaji huyo kutoka kucheza winga hadi mshambuliaji wa kati kama alivyofanya Thiery Henry.
  Mlengwa: Arsenal ipo karibu kumsaini kwa dau la Pauni Milioni 37 mshambuliaji wa Schalke, Julian Draxler (katikati)
  Main man: Draxler is expected to be converted to a striker by Arsene Wenger as he did with Thierry Henry
  Mtu muhimu: Draxler anatarajiwa kubadilishwa kuwa mshambuliaji na Arsene Wenger kama alivyofanya kwa Thierry Henry
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DRAXLER HATUA CHACHE KUFIKA ARSENAL, WENGER AHARIBU MWENYEWE KWA UBAKHILI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top