• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 31, 2014

  FULHAM YAMSAINI LEWIS KUTOKA SPURS KWA MKOPO

  KLABU ya Fulham imethibitisha kumsajili kwa mkopo Lewis Holtby kutoka Tottenham.
  Kiungo huyo amekuwa akisotea namba kikosi cha kwanza Spurs tangu awasili kutoka Schalke Januari mwaka jana.
  Atabakia Craven Cottage hadi mwishoni mwa msimu, na anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Rene Meulensteen katika dirisha hili lausajili.

  Mtu mpya: Lewis Holtby akiwa ameshika jezi ya Fulham baada ya kuwasili akitokea Tottenham
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FULHAM YAMSAINI LEWIS KUTOKA SPURS KWA MKOPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top