• HABARI MPYA

  Sunday, January 26, 2014

  YANGA NA AZAM ZILIVYOVUNA POINTI MECHI ZA UFUNGUZI LALA SALAMA LIGI KUU BARA JANA

  Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm kushoto akizungumza na wachezaji wake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana dhidi ya Ashanti United Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1.
  Mshambuliaji wa Azam FC, Brian Umony akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Salvatory Ntebe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0.
  Hatari kwenye lango la Mtibwa
  Shaaban Nditi kushoto akikabiliana na Kipre Michael Balou wa Azam kulia
  Shaaban Kisiga wa Mtibwa kushoto akiuweka sawa mpira, huku kipa Mwadini Ali wa Azam kulia akiwa ameanguka chini
  Brian Umony aliumia mapema tu kwenye mchezo huo
  Beki wa Yanga, Mbuyu Twite kulia akimdhibiti mshambuliaji wa Ashanti United, Hussein Swedi
  Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Ashanti

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA AZAM ZILIVYOVUNA POINTI MECHI ZA UFUNGUZI LALA SALAMA LIGI KUU BARA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top