• HABARI MPYA

  Saturday, January 25, 2014

  ARSENAL RAHA DUNIANI, YAWATANDIKA JAMAA 4-0 KOMBE LA FA HADI HURUMA!

  ARSENAL imeilaza mabao 4-0 Coventry katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA usiku wa jana Uwanja wa Emirates.
  Lukas Podolski alifunga mabao mawili kabla ya Olivier Giroud na Santi Cazorla kuja kufunga meine.
  Shujaa: Podolski akipiga ngumi hewani baada ya kufunga mabao mawili jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL RAHA DUNIANI, YAWATANDIKA JAMAA 4-0 KOMBE LA FA HADI HURUMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top