• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 31, 2014

  RASMI KALLSTROM NI MCHEZAJI WA ARSENAL, AMETUA KWA MKOPO HADI MWISHONI MWA MSIMU

  Arsenal imemsaini kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu wa 2013/2014 kiungo wa kimataifa wa Sweden, Kim Kallstrom (pichani) kutoka klabu ya Spartak Moscow, baada ya kufuzu vipimo vya afya leo. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASMI KALLSTROM NI MCHEZAJI WA ARSENAL, AMETUA KWA MKOPO HADI MWISHONI MWA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top