• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 30, 2014

  SIMBA SC WAINGIA KAMBINI KIGOGO KUIWEKEA AKILI SAWA OLJORO

  Kikosi cha Simba SC leo kimengia kambini katika hoteli ya Vinna, Kigogo, Dar es Salaam kuiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi dhidi ya JKT Oljoro ya Arusha, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Beki Mganda Joseph Owino ni miongoni mwa wachezaji 20 walioingia kambini baada ya mazoezi yaliyofanyika Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAINGIA KAMBINI KIGOGO KUIWEKEA AKILI SAWA OLJORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top