• HABARI MPYA

  Friday, January 24, 2014

  MOURINHO: CHELSEA HAIKUWA NA UWEZO WA KUMZUIA MATA KUHAMIA MAN UNITED

  KOCHA Jose Mourinho amesema Chelsea haikuwa na nguvu kumzuia Juan Mata kujiunga Manchester United.
  Mspanyola huyo amekwenda kufanyiwa vipimo Old Trafford ili rasmi awe mchezaji wa United atakapozufu. 
  Dau la Pauni Milioni 37 tayari limesainiwa na klabu zote na vipengele binafsi vya Mkataba vimefikiwa na mchezaji huyo.
  Mata atakuwa tayari kuanza kuitumikia timu ya David Moyes katika mechi na Cardiff City Jumanne.  

  Ameondoka: Kiungo Juan Mata anaelekea kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 37 kutua Manchester UnitedBlessing: Jose Mourinho said the club had to be 'respectful' of Mata as his move to United draws near
  Baraka zote: Jose Mourinho amesema hakuwa na uwezo wa kumzuia Mata kuhamia United
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURINHO: CHELSEA HAIKUWA NA UWEZO WA KUMZUIA MATA KUHAMIA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top