• HABARI MPYA

  Sunday, January 26, 2014

  FABIO AMFUATA ZAHA CARDIFF CITY

  WACHEZAJI wawili wa Manchester United, Wilfried Zaha na Fabio Da Silva wapo karibu kujiunga na Cardiff City.
  Winga wa United, Zaha amekwenda kufanyiwa vipimo vya afya St George Park kuekelea kukamilisha uhamisho wa mkopo hadi mwishoni mwa msimu, wakati bek Fabio anatarajiwa kusaini Mkataba wa moja kwa moja.
  Zaha amekuwa akitakiwa na Cardiff tangu Oktoba na sasa ndoto za klabu hiyo kumpata nyota huyo zinatimia.    

  Anaondoka: Wilfried Zaha anatarajiwa kujiunga na Cardiff kwa mkopo after limited first team opportunities at Man UnitedOn the move: Manchester United defender Fabio Da Silva has passed a medical ahead of his transfer to Cardiff
  Ameondoka: Beki wa Manchester United, Fabio Da Silva amefaulu vipimo vya afya kuhamia Cardiff
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FABIO AMFUATA ZAHA CARDIFF CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top