• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 23, 2014

  COASTAL WAREJEA DAR 'WANUKIA' MARASHI YA MUSCAT

  Kipa Shaaban Kado akiwaongoza wachezaji wenzake wa Coastal Union kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jioni hii baada ya kuwasili kutoka Muscat, Oman walipoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara unaoanza keshokutwa.
  Wananukia marashi ya Muscat

  Coastal watacheza na JKT Oljoro Uwanja wa Mkwakwani Jumamosi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COASTAL WAREJEA DAR 'WANUKIA' MARASHI YA MUSCAT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top