• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 29, 2014

  MATA AANZA KUWALIPA MAN UNITED...APIGA MZIGO WA UHAKIKA MASHETANI WEKUNDU WAKIUA 2-0

  DAKIKA sita zilitosha kwa Juan Mata kuwadhihirishia Manchester United hawakukosea kumsajili, baada ya kutengeneza bao la kwanza la timu hiyo lililofungwa na Robin van Persie katika ushindi wa 2-0 dhidi ya cardiff City Uwanja wa Old Trafford usiku huu.
  Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England, ilibidi kocha David Moyes asuburi hadi dakika ya 59 kujihakikishia ushindi kwa bao zuri la shley Young.
  Matokeo hayo yanaifanya United itimize pointi 40 baada ya kucheza mechi 23, ikibaki nafasi ya saba.
  Kitu cha uhakika: Juan Mata alitoa pasi ya bao la kwanza la UnitedQuick off the mark: Robin van Persie took just six minutes to put the hosts a goal to the good after his return from injury
  Furaha imerejea: Robin van Persie akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la kwanza akirejea kutoka kwenye majeruhiMuch-maligned: Ashley Young made it 2-0 with a long-range shot
  Ashley Young akishangilia bao lake la pili
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MATA AANZA KUWALIPA MAN UNITED...APIGA MZIGO WA UHAKIKA MASHETANI WEKUNDU WAKIUA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top